Thursday, May 15, 2008

Wapendwa nimejaribu kuipa blog hii sura mpya naomba msishtuke sana kwani content itakuwa aina ileile na pengine mambo mengine zaidi. Tuko pamoja kuendeleza gurudumu hili.
Mpoki

6 comments:

Anonymous said...

Imefanana mno na ya da'chemi!!!

Anonymous said...

Mzee wa Sumo,
Site yenu ya Mwananchi ina matatizo gani? Maana si kawaida yenu kulaza news, lakini sasa naona siku ya nne kiza na hatujui kinachoendelea. Samahani kwa kukuuliza japo najua kwamba uko jikoni na hivyo ni rahisi kuelewa kinachoendelea huko ndani. Si unajua tena mtu akishikwa njaa huwa anauliza aliye karibu na jikoni kama kuna dalili za msosi kushuka mezani muda mfupi ujao ama akate tamaa kabisa!

Unknown said...

Mkuu Kama kawaidaa, Endeleza libeneke kwa kwenda mble nakupongeza sana sanaa..
Tupo pamoja...

Mzee wa Sumo said...

Jamani jamaa aliyekuwa anatengeneza website ya mwananchi amelazwa amekula mzinga na kuvunjika mguu. Alikuwa peke yake lakini wanasema mambo yanawekwa sawa!

Anonymous said...

umemwona chemi anafaidi ehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Unknown said...

mzee wee acha tu. baab kubwa. naona maafande wa jela wamekulipa kwa hiyo umeamua kuwekeza vilivyo kwenye site than kupeleka vijisenti majuu. lol. keep it up.