Wapendwa nimejaribu kuipa blog hii sura mpya naomba msishtuke sana kwani content itakuwa aina ileile na pengine mambo mengine zaidi. Tuko pamoja kuendeleza gurudumu hili. Mpoki
Mzee wa Sumo, Site yenu ya Mwananchi ina matatizo gani? Maana si kawaida yenu kulaza news, lakini sasa naona siku ya nne kiza na hatujui kinachoendelea. Samahani kwa kukuuliza japo najua kwamba uko jikoni na hivyo ni rahisi kuelewa kinachoendelea huko ndani. Si unajua tena mtu akishikwa njaa huwa anauliza aliye karibu na jikoni kama kuna dalili za msosi kushuka mezani muda mfupi ujao ama akate tamaa kabisa!
Jamani jamaa aliyekuwa anatengeneza website ya mwananchi amelazwa amekula mzinga na kuvunjika mguu. Alikuwa peke yake lakini wanasema mambo yanawekwa sawa!
mzee wee acha tu. baab kubwa. naona maafande wa jela wamekulipa kwa hiyo umeamua kuwekeza vilivyo kwenye site than kupeleka vijisenti majuu. lol. keep it up.
6 comments:
Imefanana mno na ya da'chemi!!!
Mzee wa Sumo,
Site yenu ya Mwananchi ina matatizo gani? Maana si kawaida yenu kulaza news, lakini sasa naona siku ya nne kiza na hatujui kinachoendelea. Samahani kwa kukuuliza japo najua kwamba uko jikoni na hivyo ni rahisi kuelewa kinachoendelea huko ndani. Si unajua tena mtu akishikwa njaa huwa anauliza aliye karibu na jikoni kama kuna dalili za msosi kushuka mezani muda mfupi ujao ama akate tamaa kabisa!
Mkuu Kama kawaidaa, Endeleza libeneke kwa kwenda mble nakupongeza sana sanaa..
Tupo pamoja...
Jamani jamaa aliyekuwa anatengeneza website ya mwananchi amelazwa amekula mzinga na kuvunjika mguu. Alikuwa peke yake lakini wanasema mambo yanawekwa sawa!
umemwona chemi anafaidi ehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
mzee wee acha tu. baab kubwa. naona maafande wa jela wamekulipa kwa hiyo umeamua kuwekeza vilivyo kwenye site than kupeleka vijisenti majuu. lol. keep it up.
Post a Comment