Jamani watu wengine kwa kubonda, eti wakasema kuwa sijui kuupload ndio maana sijaonekana kwa muda! Hivi tu ukiwa milimani namna hii kunakuwaga na network? labda mlima Everest ambao sijawahi kupanda! Acheni kuua, Nilikuwa mlima Kenya kwa jili ya kuchangia binadamu wanaokabiliwa na njaaa, hamtaki niende peponi kwa vijisifa vidogovidogo? Watu wanasema eti mzee wa Sumo bonge nyanya, cheki nilivyofiti!
Wednesday, February 11, 2009
MILIMANI

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Karibu mzee wa Sumo..
maana sasa najua gurudumu litasukumwa kama kawa...
nimecheka sana haka kamstari kwenye picha zako.."hamtaki niende peponi kwa vijisifa vidogovidogo? "
kazi nzuri sana kuwakumbuka wenye shida..pamoja mpoki
Post a Comment