Thursday, January 06, 2011

UDHALILISHAJI

Ukamataji wa namna hii kwa mfanyabiashara ndogondogo 'Machinga' sasa fikiria kama mtu alikuwa anaandamana itakuwaje, waulize Arusha! Hii ndio bongo yetu.

1 comment:

Anonymous said...

Hivi hawa askari wa jiji wanaruhusiwa kupiga imekuwa ni tabia yao kuwapiga machinga mbali na kuwanyang'anya bidhaa zao wanazouza. Huu ni unyanyasaji kipigo na kuchukuliwa mali zako mtu ana familia anategemewa na wazazi wake katika kuwapa misaada ya aina mbalimbali. Hebu tazama jinsi walivyomchania nguo huyu dada na kumuacha wazi sehemu zake za kuficha. Tabia ya kupiga ikomeshwe. Pole sana dada